• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

WAZIRI MCHENGERWA AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA MATRIONI YA FEDHA KWA WANANCHI

Imewekwa tar.: June 18th, 2025

Na John Mapepele OR- TAMISEMI 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya shilingi trioni sita kwa ajili ya huduma mbalimbali  ili kuboresha maisha wananchi.

Mhe. Mchengerwa ametoa  shukrani hizo Juni 18, 2025  kwenye mkutano wa majumuisho ya ziara ya kikazi ya Rais Samia Suluhu Hassan kukagua utekelezaji wa maendeleo katika mkoa wa Simiyu kabla ya kumkaribisha Mhe. Rais kuongea na maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Simiyu.

Ikiwa ni siku yake ya nne  baada ya kukagua miradi katika wilaya za Bariadi, Meatu, Itilima na Maswa Mhe. Rais amesisitiza kuwa Serikali yake itaendelea kuwaletea maendeleo.

Akitoa maelezo ya awali ya sekta za elimu, afya na miundombinu Mhe. Mchengerwa amemshukuru Rais kwa kutoa fedha nyingi katika sekta hizo katika kipindi kifupi cha uongozi wake.

"Mheshimiwa Rais naomba kusema kuwa kutokana na kazi  kubwa uliyoifanya, uongozi wako umejenga imani kubwa na alama isiyofutika vizazi  hata vizazi". Amefafanua Waziri Mchengerwa 

Aidha, amesema  Baba wa Taifa letu Mwalimu Nyerere amesisitiza kuwa maendeleo ni watu  dhana ambayo Mhe. Rais Samia ameiendeleza vema.

Akizungumzia eneo la afya amesema Serikali imefanya kazi kubwa ya kujenga zahanati, vituo vya afya na hospitali katika mikoa yote kwa gharama kubwa huku akitolea mfano wa Mkoa wa Simiyu kuwa ulipatiwa jumla ya shilingi bilioni 46.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu na vifaa tiba katika kipindi hiki na kutaja baadhi ya vitu kuwa ni ujenzi wa Hospitali 6 vituo vya afya 16 na magari ya kubebea wagonjwa  14.

Kwa upande wa elimu amesema Serikali imekuwa ikitoa takriban shilingi bilioni 40 kila mwezi ambapo Mkoa wa Simiyu umeshapata shilingi bilioni 28.2 kwa ajili ya ujenzi wa shule 41 na madarasa 634.

Pia amesema Mkoa wa Simiyu umeshapatiwa shilingi bilioni 14.1 kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya utawala ili kusogeza huduma karibu na wananchi.

Ameongeza kuwa shilingi bilioni 3.9 zilitolewa kwa ajili ya kuviwezesha vikundi mbalimbali 420.

Kuhusu ujenzi wa barabara amesema Serikali imetoa shilingi bilioni 72.489 kwa ajili ya kujenga mtandao wa barabara zenye urefu wa kilomita 4163.

Aidha Waziri Mchengerwa amesema tayari Mhe. Rais ameelekeza kujengwa kwa soko la kisasa mjini Bariadi kupitia mradi wa kukuza miji nchini chini ya TAMISEMI ambalo litagharimu shilingi bilioni 26 pamoja na kipande cha barabara chenye kilomita 8.6 ambapo mkataba baina ya mkandarasi na Serikali utasainiwa Juni 25, mwaka huu.

Mhe. Rais Samia pia ameelekeza barabara za ndani zitengenezwe pamoja na kuweka taa ili wafanyabiashara waweze kufanya biashara kipindi chote.

Kwa upande wa mikopo, Mhe. Rais amewataka watendaji kulegeza masharti ya ukopaji  na kuwasaidia kwenye mchakato mzima  wa kupata  mikopo ili wananchi waweze kukopesheka.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - AJIRA YA MKATABA LISHE July 03, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI KUENDELEA KUSOGEZA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KWA WANANCHI.

    July 01, 2025
  • Maafisa lishe watakiwa kumaliza udumavu, ukondefu kwa Watoto, vitambi na vilibatumbo kwa watu wazima

    July 01, 2025
  • WAZIRI MCHENGERWA AWAFUNDA MA RC WAPYA

    June 28, 2025
  • SERIKALI YAIPONGEZA TARURA KWA KAZI NZURI WANAZOFANYA MHE: MCHENGERWA AWASIHI KUTOKATISHWA TAMAA

    June 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.