• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
      • Afya Michoro
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

USALAMA WA MTOTO NI MUHIMU KWA JAMII – DKT.MSONDE

Imewekwa tar.: September 8th, 2023

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt.Charles Msonde amewataka wazazi, walezi na jamii  kushirikiana kikamilifu na walimu katika Malezi na Usalama wa Watoto.


Dkt.Msonde ameyasema hayo leo Septemba 8, 2023 Jijini Dodoma wakati akizungumza katika Ufunguzi wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Waratibu wa Mpango wa Shule Salama na wasimamizi wa usalama wa jamii wa Mikoa na Halmashauri.


"Malezi na ulinzi wa Mtoto ni jukumu letu sote hivyo Wazazi, walezi na jamii  shirikianeni  na shule  katika kuhakikisha  mnawalinda watoto na kuwakinga dhidi ya ukatili katika jamii, msiwaachie jukumu hilo walimu pekee  kwani mtoto anaweza kupata changamoto nyumbani, kwenye jamii ama shuleni, hivyo ni muhimu kuwalinda kwa pamoja,"amesema Msonde.


Amesema Malezi ya watoto ni jambo la muhimu ndani ya jamii hivyo ni wajibu wa walimu kuhakikisha watoto wanapata malezi bora kwa kuhakikisaha kila siku wapo katika mazingira salama 


“ usalama wa watoto unaanzia  katika familia, shuleni na  ndani ya jamii, hivyo ni wajibu wa Maafisa Maendeleo ya Jamii kuhakikisha  usalama wa mtoto unapatikana ndani ya jamii “ amesema Dkt.Msonde


Dkt. Msonde amefafanua kuwa malezi ya watoto yanahitaji  ushiriki wa Wazazi, walimu  na Jamii kwa ujumla hivyo ni wajibu wa Maafisa Maendeleo ya Jamii pia kuhakikisha  wanahamasisha jamii kutambua umuhimu wa usalama wa mtoto ndani ya jamii.


“ Wazazi wanapaswa kuelewa   kwamba ili mtoto awe na maadili  mema na nidhamu  kwa kuzingatia mila na desturi ushiriki wa wazazi ni muhimu , ushiriki wa jamii kwa ujumla kuhusu malezi ya watoto ni muhimu” amesisitiza Dkt. Msonde


Amewataka Maafisa Ustawi wa Jamii kuhakikisha watoto wanaopata matatizo ya ukatili wanawahudumiwa vizuri  kwa kuwajenga kisaikolojia ili kumlinda mtoto. 


Dkt. Msonde  ametoa Rai kwa shule zote za msingi na Sekondari nchini kuhakikisha wanakuwa na Wanasihi ambao watachaguliwa na watoto wenyewe lengo likiwa ni kuwapata watu sahihi kwani watachaguliwa watu salama watakaoweza  kuwa huru kueleza matatizo  yao  kwa uhuru na  usalama. 


Aidha,amewaagiza Wakuu wa shule nchini kuhakikisha  kunakuwepo na Mpango salama wa shule, mabaraza ya watoto ambayo watoto watajadili kwa uwazi changamoto zinazowakabili na kuwepo kwa masanduku ya watoto kutolea maoni  ili kuhakikisha watoto wanakuwa salama wakati wote.

Hii hapa. Kama kuna vox ya washiriki itapendeza pia.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - AJIRA YA MKATABA LISHE July 03, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI KUENDELEA KUSOGEZA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KWA WANANCHI.

    July 01, 2025
  • Maafisa lishe watakiwa kumaliza udumavu, ukondefu kwa Watoto, vitambi na vilibatumbo kwa watu wazima

    July 01, 2025
  • WAZIRI MCHENGERWA AWAFUNDA MA RC WAPYA

    June 28, 2025
  • SERIKALI YAIPONGEZA TARURA KWA KAZI NZURI WANAZOFANYA MHE: MCHENGERWA AWASIHI KUTOKATISHWA TAMAA

    June 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.