• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

TAMISEMI WAKUTANA NA SHIRIKA LA GOOD NEIGHBORS TANZANIA

Imewekwa tar.: May 24th, 2024

Na OR TAMISEMI, DODOMA

Mkurugenzi wa Idara ya Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amefanya mazungumzo na Shirika la Good neighbors Tanzania ambapo amewaasa kuendeleza mambo mazuri wanayoyafanya kupitia kazi zao hapa nchini. 

Dkt. Mfaume amewapongeza Shirika la Good neighbors ofisini kwake Jijini Dodoma  leo tarehe 24.05.2024 kwa kusema kazi zinazoleta tija katika jamii mfano mzuri kwa Wadau wanaoshirikiana na Serikali kwani wadau hao kwa mkoa wa Mwanza pekee wamejenga tenki la maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita 50,000, ujenzi wa zahanati na uwekaji wa vifaa tiba, kutibu magonjwa na kutoa dawa kwa kushirikiana na Serikali.

Katika mazungumzo na Ofisi ya Rais TAMISEMI Bw. Dominic Mbamba Meneja Operesheni Shirika la Good neighbors amesema shirika lake limeweza kuwasiliha kazi zake inazofanya katika mikoa ya Dodoma, Dar es Salaam, Pwani, Mwanza, Kigoma na Songwe lengo likiwa ni kujenga mahusiano mazuri na Serikali, kufanya kazi pamoja katika Sekta wanazozifanyia kazi ili kufikia malengo waliyojiwekea kwa manufaa ya watanzania.

Bw. Mbamba ameongeza kuwa shirika hilo la Kimaifa linajihusisha na masuala la Kilimo Tija, Afya na Lishe, Elimu, huduma za maji (water sanitation and hygiene) na masuala ya kujiongezea kipato kwa jamii.

Amesema kazi zilizofanywa na Shirika ni pamoja na kujenga zahanati na kuweka vifaa tiba, kuwafundisha walimu njia za kufundishia na ufaraguaji wa zana ili kuboresha eneo la ufundishaji kwa wanafunzi, kutoa mafunzo ya kilimo kwa wakulima na kuwapatia mbegu bora ili kujiongezea kipato na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, kujenga vituo vya utayari kwa ajili ya watoto ambao hawajaanza shule za msingi ili waweze kujifunza na kujipatia elimu. 

Aidha, Bw. Mbamba amesema mkoani Mwanza katika visiwa vya Kome na Chifunfu wameweza kutoa huduma za magonjwa yasiyopewa kipaumbele ambayo ni kichocho na minyoo kwa kutoa dawa na tiba, ujenzi wa zahanati, ujenzi wa kituo cha utafiti wa magonjwa, kujenga miundombinu mizuri ya maji safi na salama na kutoa elimu kwa jamii kujikinga na magonjwa. 

Amesema Shirika hilo katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam wameweza kutoa elimu ya ufundi wa kisasa kama vile utengenezaji wa mfano wa taa za barabarani, magari,  na mifumo ya maji ya umwagiliaji ( STEAM) kwa ajili ya kukuza uwezo wa teknolojia kwa watoto lakini pia wamejenga shule za sekondari za Maendeleo na Fokayosi ili kuboresha mazingira ya ujifunzaji kwa wanafunzi.

Aidha, wameweza kuwalipia Bima ya Afya watoto wapatao 7000 waliopo kwenye mazingira magumu katika mikoa ya Dodoma, Dar es Salaam, Pwani, Mwanza, Kigoma na Songwe.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - AJIRA YA MKATABA LISHE July 03, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI KUENDELEA KUSOGEZA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KWA WANANCHI.

    July 01, 2025
  • Maafisa lishe watakiwa kumaliza udumavu, ukondefu kwa Watoto, vitambi na vilibatumbo kwa watu wazima

    July 01, 2025
  • WAZIRI MCHENGERWA AWAFUNDA MA RC WAPYA

    June 28, 2025
  • SERIKALI YAIPONGEZA TARURA KWA KAZI NZURI WANAZOFANYA MHE: MCHENGERWA AWASIHI KUTOKATISHWA TAMAA

    June 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.