• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Ofisi ya Rais-TAMISEMI yazitaka halmashauri ambazo hazijakamikisha ujenzi wa shule za kata kutoa taarifa

Imewekwa tar.: March 10th, 2022

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mitaa na Serikali za Mitaa (Elimu) Mhe. David Silinde ameziagiza Halmashauri zote nchini zinazojenga shule mpya za kata zifuatilie maendeleo ya ujenzi na zihakikishe zinatuma taarifa sahihi Ofisi ya Rais - TAMISEMI.

Mhe. Silinde ametoa agizo hilo  wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa shule mpya ya Kata ya Masandaka Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro na kutoridhishwa na mwenendo  wa ujenzi unaoendelea katika shule hiyo.

Amesema, hakuna sababu ya ujenzi huo katika shule hiyo mpaka sasa kuwa katika hatua ya msingi ikiwa Serikali imetoa fedha siku moja kwa shule zote na Halmashauri ya Moshi Vijijini wapo katika hatua ya uwezekaji.

"Natoa maelekezo ifikapo tarehe 15 Mei, 2022 shule hii iwe imekamilika na ujenzi wa shule uendane na thamani ya fedha zilizotolewa.

"Aidha, nazielekeza Mamlaka za Serikali za Mitaa ziendelee kuisimamia fedha za miradi zinazotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya shule ili kuhakikisha inakuwa na thamani ya fedha na hata watumiaji wanakuwa na imani ya samani unazozitumia,"amefafanua Mhe.Silinde.

Katika hatua nyingine, Mhe. Silinde alikagua ujenzi wa Kituo cha Afya cha Uru Kusini na kutokuridhishwa na  ujenzi wa majengo ya zahanati hiyo ambayo walishapokea fedha zinazotokana na tozo za miamala ya simu shilingi milioni 250 toka miezi mitatu iliyopita, lakini bado maendeleo ya ujenzi huo hauridhishi.

"Sijaridhishwa na mwenendo wa kasi ya ujenzi unaojengwa,  ninawaelekeza mkamilishe ujenzi huu kama ambavyo Serikali ilishawaelekeza hakuna sababu ya kutokuendelea kwa ujenzi wakati Serikali inayoongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan ilishatoa fedha," ameagiza Mhe.Silinde.

Amesema, "Fedha hizo zimetokana na kodi inayokusanywa kutoka katika fedha za tozo ya miamala, hivyo wananchi wanataka kuona thamani halisi ya fedha wanazokatwa zinafanyiwa kazi kwa maendeleo yao na waweze kupata huduma kwa haraka"

Amesema, ujenzi wa kituo hicho kikikamilika kwa haraka kitasaidia wananchi kupata huduma na kutotembea umbali mrefu kufuata huduma za afya.

Kwa upande wake Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi ameishukuru Serikali kwa kuwajengea kituo hicho cha afya na kuiomba Ofisi ya Rais- TAMISEMI kusimamia kukamilika kwa haraka ujenzi wa kituo hicho ili kuokoa maisha ya wananchi kutotembea umbali mrefu kufuata huduma.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - AJIRA YA MKATABA LISHE July 03, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI KUENDELEA KUSOGEZA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KWA WANANCHI.

    July 01, 2025
  • Maafisa lishe watakiwa kumaliza udumavu, ukondefu kwa Watoto, vitambi na vilibatumbo kwa watu wazima

    July 01, 2025
  • WAZIRI MCHENGERWA AWAFUNDA MA RC WAPYA

    June 28, 2025
  • SERIKALI YAIPONGEZA TARURA KWA KAZI NZURI WANAZOFANYA MHE: MCHENGERWA AWASIHI KUTOKATISHWA TAMAA

    June 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.