• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

MHE. RAIS AZINDUA HOSPITALI YA ZAIDI YA BILIONI 4, WANANCHI WAMPA TANO

Imewekwa tar.: June 17th, 2025

Na John Mapepele - OR TAMISEMI 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan leo amezindua Hospitali ya Wilaya ya Itilima iliyogharimu shilingi bilioni 4.7 iliyojumuisha ujenzi wa miundombinu na ununuzi wa vifaatiba huku wananchi wakimpongeza.

Mhe. Rais amezindua Hospitali hiyo leo akiwa kwenye siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi katika mkoa wa Simiyu ambapo tangu aanze ziara hiyo amekagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyogharimu mabilioni ya fedha huku akifanya mikutano na wananchi.

Akizungumza mara baada ya kuzindua hospitali hiyo, amefafanua kuwa dhamira ya Serikali yake ni kusogeza huduma bora kwa wananchi.

" Nimeridhishwa na miundombinu ya hospitali hii ilivyo ya kisasa na fedha iliyotumika, kimsingi hospitali hii ina kila kitu ambacho kinatakiwa kuwepo kwenye hospitali". Ameongeza Mhe. Rais huku akishangiliwa na wananchi waliofurika kumlaki

Aidha, ameeleza  kuwa Serikali imejenga hospitali kama hiyo katika maeneo tofauti ya nchi lengo likiwa ni kuwapunguzia wananchi kwenda umbali mkubwa kupata huduma za afya.

Amewaahidi wananchi kuwa Serikali yake itaendelea kuwaletea maendeleo wananchi wake na kuwa kuwaboreshea  maisha.

 Akimkaribisha Mhe. Rais Samia ili aongee na maelfu ya wananchi katika mkutano wa kuhitimisha ziara kwa siku ya leo Waziri wa Ardhi, nyumba na maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi kwaniaba ya Waziri wa Nchi, TAMISEMI, Mhe Mohamed Mchengerwa amesema TAMISEMI kupitia Idara ya afya ilipewa shilingi trilioni 1.34 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali za wilaya na zahanati nchini nzima kwenye Halmashauri zote 184 zikihusisha pia ununuzi wa Vifaa tiba.

Aidha aliongeza kuwa Rais Samia  ameongeza bajeti ya ujenzi wa barabara za mijini na vijijini katika Halmashauri ya Wilaya ya Itilima kutoka Shilingi Milioni 800 mwaka 2021 hadi kufikia Bilioni 2.5, suala ambalo limewezesha barabara zote za wilaya hiyo kupitika kwa msimu wote wa mwaka.

Anna Masanja, Mkazi wa Itilima amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia imefanya maboresho makubwa kwenye kila sekta katika kipindi kifupi cha uongozi wake.

"Kwa kusema ukweli Mama Samia ametuheshimisha wananchi kwa kufanya makubwa kwenye elimu, miundombinu, afya, umeme hata maji" ameongeza Buliga Amos Mkazi wa Meatu

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - AJIRA YA MKATABA LISHE July 03, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI KUENDELEA KUSOGEZA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KWA WANANCHI.

    July 01, 2025
  • Maafisa lishe watakiwa kumaliza udumavu, ukondefu kwa Watoto, vitambi na vilibatumbo kwa watu wazima

    July 01, 2025
  • WAZIRI MCHENGERWA AWAFUNDA MA RC WAPYA

    June 28, 2025
  • SERIKALI YAIPONGEZA TARURA KWA KAZI NZURI WANAZOFANYA MHE: MCHENGERWA AWASIHI KUTOKATISHWA TAMAA

    June 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.