• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

MHE. RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI KWA MRADI WA SHULE  103 ZA AMALI, BILIONI 41 ZATENGWA KWA SHULE 26.

Imewekwa tar.: June 18th, 2025

Na John Mapepele- OR  TAMISEMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan leo ameweka Jiwe la Msingi katika Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwamapalala kwa niaba ya mradi wa shule 103 zinazojengea kote nchini.

Hadi sasa tayari Serikali imetoa jumla ya shilingi  bilioni 41.6 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya 26 za Sekondari za Amali za Mikoa. Kati ya fedha hizo, Mkoa wa Simiyu kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Itilima ilipokea shilingi Bilioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya Amali ya Mkoa wa Simiyu.

Akiwahutubia  wanachi waliokusanyika  katika  shule hiyo Mhe. Rais amesema lengo la ujenzi wa shule hizo ni kuwawezesha Wanafunzi kupata ujuzi wa ziada hasa katika fani za ufundi ili waweze kujiajiri baada ya kuhitimu elimu yao ya Sekondari.

"Mwelekeo wa Serikali ya Awamu ya Sita kwa sasa ni kukukuza elimu ya Amali ili vijana wetu wanaomaliza  waweze kujiajiri". Amefafanua Mhe Rais

Ameongeza kuwa kutokana na wimbi kubwa la watoto wanaomaliza shule, Serikali peke yake haiwezi kuwaajiri wote hivyo watakaopitia katika shule hizi watakuwa na uwezo wa kujiajiri pia kuajiriwa na sekta binafsi.

Amesema Serikali inatumia fedha nyingi kujenga shule hizo na amewataka wazazi wote nchini kuwapa fursa watoto ili wapate ujuzi katika shule hizi maalum.

Aidha, Mhe Rais amesema katika kipindi hiki Serikali yake kumekuwa na mabadiliko makubwa ya maendeleo katika wilaya ya Itilima na kutaka barabara za ndani ya Wilaya hiyo pamoja na taa za barabarani kuwekwa.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Mohamed Mchengerwa akielezea utekelezaji wa mradi wa shule hizo kwa Mhe Rais amesema mradi huo ni dhamira na ndoto za kuwapatia wanafunzi  elimu ya ufundi ili  waweze kujitegemea baada ya kumaliza masomo ya Sekondari 

"Mhe. Rais mara baada ya kuniteua kuwa waziri wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI uliniagiza nishirikiane na Waziri wa Elimu kusimamia  utekelezaji wa mradi huu". Ameongeza Mhe Mchengerwa

Aidha, Mhe. Mchengerwa amezitaka Halmashauri zote zilizopitiwa na mradi huu kujenga uzio kwa mapato ya fedha za ndani ili kuimarisha ulinzi kwa wanafunzi.

Naye waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda amesema kwa kushirikiana na TAMISEMI wameweza kutekeleza mradi huu kwa mafanikio.

Aidha, amesema mfumo huu wa sasa wa elimu umerejeshwa kama ulikuwa hapo awali ambapo mwanafunzi baada ya kumaliza Sekondari katika kidato cha nne alipata fursa ya kwenda kwenye vyuo vya ufundi kwa miaka 3 na kupata diploma ya fani husika iliyomwezesha kujiunga na masomo ya Chuo Kikuu.

Mhe. Rais Samia yupo katika siku ya nne ya ziara  ya kikazi mkoani Simiyu kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - AJIRA YA MKATABA LISHE July 03, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI KUENDELEA KUSOGEZA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KWA WANANCHI.

    July 01, 2025
  • Maafisa lishe watakiwa kumaliza udumavu, ukondefu kwa Watoto, vitambi na vilibatumbo kwa watu wazima

    July 01, 2025
  • WAZIRI MCHENGERWA AWAFUNDA MA RC WAPYA

    June 28, 2025
  • SERIKALI YAIPONGEZA TARURA KWA KAZI NZURI WANAZOFANYA MHE: MCHENGERWA AWASIHI KUTOKATISHWA TAMAA

    June 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.