• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU KATIKA KUANDAA MIRADI YA MAENDELEO- ADOLF NDUNGURU

Imewekwa tar.: June 17th, 2025

Na.Asila Twaha, OR - TAMISEMI

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ndugu Adolf Ndunguru amewataka Makatibu Tawala Wasaidizi, Sehemu ya Mipango na Uratibu Makatibu Tawala Wasaidizi Uchumi na Uzalishaji, Maafisa Mipango na Uratibu wa Halmashauri na Waweka Hazina wa Halmashauri kuhakikisha wanakuwa wabunifu na wataalamu wenye uthubutu katika kuhakikisha kila Halmashauri inakuwa na miradi ya maendeleo itakayoandaliwa na kutekelezwa kwa kuzingatia miongozo na ushauri wa kitaalamu.

Ndunguru ameyasema hayo leo jijini Dodoma wakati akifunga mafunzo kwa wataalamu hao yalikuwa yamefanyika kwa awamu mbili ampapo awamu ya kwanza yamefanyika kuanzia tarehe 3-6 Juni, 2025 na awamu  pili yalianza tarehe 10-13 Juni, 2025.

“Serikali  ina imani kubwa sana nanyinyi tekelezeni  majukumu yenu kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za kazi na muwe wepesi wa kueleza mapema changamoto kama zinatokea ili zishughulikiwe kwa wakati” amesema Ndunguru

Amewataka kwa waweka hazina wanatumia  mifumo ya ndani  kutunza namba za siri za kuingilia kwenye mfumo wa mapato, kufuatilia fedha zilizokusanywa na hazijawasilishwa benki kwa wakati, kufanya usuluhishi wa kibenki kwa akaunti zote za halmashauri na vituo vya kutolea huduma kwa wakati, matumizi ya TAUSI App (Toleo la Kiganjani) kuhakiki uhalali wa stakabadhi, vibali na leseni na kudhibiti ugawaji wa Float kwa wahasibu wa mapato na wakusanya ushuru.

Ndunguru amesema, dhamira ya Serikali ya kuanzisha na kutekeleza miradi kwa njia ya Special Purpose Vehicle (SPV) na Public-Private Partnership (PPP)  ni kuhakikisha inafanikiwa na  Ofisi ya Rais -TAMISEMI itaendelea kutoa elimu kwa viongozi wa mikoa, wilaya na halmashauri kwa kuwashirikisha viongozi wa kisiasa ili kuhakikisha wanaelewa vyema malengo ya miradi hiyo ili kuondoa mwingiliano wa majukumu na hivyo kuwezesha utekelezaji wake kwa ufanisi katika maeneo yenu.

“Hakikisheni mnakamilisha uingizaji wa bajeti ya mwaka 2025/26 na bakaa ya 2024/25 katika mfumo wa malipo kwa muda uliopangwa ili kuwezesha kuanza kwa matumizi ya fedha” amesisitiza Ndunguru

Kwa upande wa Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais -TAMISEMI  Bi. Beatrice Kimoleta amemueleza Katibu Mkuu  kuwa  pamoja na  wataalamu hao kujengewa uwezo  pia wamepata fursa ya  kufundishwa mada mbalimbali ikiwemo  mada ya uandaaji wa maandiko ya miradi ya kimkakati.

Beatrice ametoa wito kwa wataalamu hao kuhakikisha kuwa mafunzo na elimu waliyoipata inafika pia kwa watumishi wanaowasimamia ili kuongeza tija katika usimamizi wa shughuli za Serikali katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa ikiwemo usimamizi wa ukusanyaji wa mapato, miradi  ya maendeleo na utoaji wa huduma bora kwa wananchi.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - AJIRA YA MKATABA LISHE July 03, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI KUENDELEA KUSOGEZA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KWA WANANCHI.

    July 01, 2025
  • Maafisa lishe watakiwa kumaliza udumavu, ukondefu kwa Watoto, vitambi na vilibatumbo kwa watu wazima

    July 01, 2025
  • WAZIRI MCHENGERWA AWAFUNDA MA RC WAPYA

    June 28, 2025
  • SERIKALI YAIPONGEZA TARURA KWA KAZI NZURI WANAZOFANYA MHE: MCHENGERWA AWASIHI KUTOKATISHWA TAMAA

    June 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.